England inaporejea Azteca ikikumbuka ‘bao la mkono wa Mungu’
MARA tu droo ya Kombe la Dunia ilipokamilika mjini Washington, Marekani, Desemba mwaka jana, tarehe iliandikwa kwenye kalenda na kuwekewa alama nzito na mashabiki wote wa England waliotarajia...