MZEE WA FACT: Simba walijipiga risasi mguuni dhidi ya Wydad Wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC wametolewa na mabingwa watetezi, Wydad Casablanca katika moja ya mechi bora sana kwa timu za Tanzania.
PRIME Shungu: Kwa huyu Maxi subirini muone! KAMA wewe shabiki wa timu pinzani na Yanga, kisha ulishangilia kitendo cha straika Fiston Mayele kutimka katika kikosi hicho, basi sikia maneno ya kushtua kutoka kwa kocha mmoja mkongwe...
Yanga: Tukutane kwa Mkapa MASTAA wa zamani was Yanga, wamedai matokeo ya jana Jumapili usiku nchini Sudan hayana uhusiano wowote na mechi ya watani wa jadi Jumapili ijayo. Wamesisitiza Yanga kwenye mechi za ndani wameiva...
Fainali Simba, Yanga Kigoma, TFF yakomba Sh12 milioni kwa adhabu BAADA ya Simba kubeba kombe la Azam Shirikisho 2020/21 mbele ya watani wao Yanga kwa kuwafunga bao 1-0 kwenye uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma sasa timu zote zitaonja chungu ya faini iliyotokana...
Yanga yashtua Afrika! rekodi zageuka gumzo YANGA imeendelea kuboresha rekodi yake ya kucheza mechi mfululizo za Ligi Kuu Bara bila kupoteza, ikifikisha 41, baada ya Jumanne wiki hii kuifumua Mtibwa Sugar kwa mabao 3-0 katika pambano...
Mastaa Yanga wapewa ishu za kocha mpya SAA chache tu baada ya Mwanaspoti kufichua kuwa mabosi wa Yanga wapo mbioni kumleta Kocha Mfaransa Sebastien Migne anayetarajiwa kutua nchini ndani ya wiki, mastaa wa timu hiyo wamepewa mchongo...
JIWE LA SIKU: Simu ya tahadhari kwa Gamondi Haloo Gamondi. Nakupigia simu hii ni ya muhimu sana. Tafadhali usiache kuipokea. Nataka nikukumbushe kuwa muda wa mapumziko ya kupisha Kombe la Mapinduzi na Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon...
PRIME Kwa Diarra simu zimeanza kuita MASHABIKI wa Yanga wanaisubiri kwa hamu saa 2 usiku ya kesho kushuhudia mastaa wawili wa timu hiyo, Diarra Djigui na kiungo mshambuliaji Stephanie Aziz KI watakawakilisha nchi za Mali na Burkina...
PRIME Chivaviro: Kazi imebaki kwa Yanga STRAIKA wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, Ranga Chivaviro amevunja ukimya kwa mara ya kwanza kwa kuzungumza na Mwanaspoti juu ya tetesi za kusajiliwa na Yanga akisema hatma yake ipo mikononi mwa...
Huku Msuva kule Sankara Yanga YANGA inaendelea na hesabu za usajili kimyakimya ikitaka kuboresha kikosi kabla ya kurejea katika michuano mapema mwakani ikiwamo Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu na kwa kuonyesha imepania, hivi...