NO AGENDA: HILI LA MO! UKINUNA UWE NA SABABU matukio ya watu kupotea. Kada wa Chadema, Ben Saanane anakaribia miaka miwili tangu atoweke. Mwandishi wa habari, Azory Gwanda ana miezi 11 sasa tangu alipotoweka. Aliyekuwa Mwenyekiti wa...
Kambi ya kishua Yanga Morocco hii hapa hilo lina ukubwa wa hekta 30 na miundombinu ya michezo mbalimbali. Kutembelea eneo lote hilo unahitaji usafiri wa ndani ambao ni gari maalumu na ili kufika katika kila miundombinu, utahitaji sio...
NYUMA YA PAZIA: Kutoka Romario, Ronaldo, Messi na sasa Traore Ulaya. Lakini kwa Adama unamzumzungia mchezaji ambaye alishindwa hata kupata namba katika kikosi cha kocha mpya wa Wolves, Bruno Lage. Kama unakuwa mwandishi wa gazeti fulani na unaandika...
Maswali magumu inayoenda kuulizwa England na Mexico HATIMAYE imefika. Unapofikiria kupanda kitandani leo usiku kumbuka kwamba ifikapo saa 9:00 usiku ile mechi ya kibishi inapigwa.
Kwa refa huyu Yanga ishindwe yenyewe Abdel Aziz Mohamed Bouh kutoka Mauritania, ndiye refa aliyepangwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kuchezesha mechi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya Yanga na Al...
MAONI: Klabu zijaribu kuepuka aibu hii TUMESEMA na tunarudia kuzikumbush klabu kuheshimu mikataba zinayoingia na wachezaji au makocha, kwani imekuwa ikizitia aibu. Kila mmoja anajua mkataba ni mafungamano ya pande mbili katika...
Soka la mtaani lapigiwa chapuo kukuza vipaji Dar es Salaam. Katika mkakati wa kukuza vipaji hususani katika mchezo wa mpira wa miguu nchini, wito umetolewa kuchangia mchezo huo ili kukuza vipaji. Hayo yameelezwa jana Desemba 9 na Ofisa...
Yanga mitihani minne Ghana Wakati kikosi cha Yanga kikiwasili jana Ghana kwa ajili ya kuikabili Medeama, keshokutwa Ijumaa, mambo manne yanailazimisha kuibuka na ushindi katika mechi hiyo itakayochezwa katika Uwanja wa...
Simba, Yanga mtegoni CAF KITENDO cha Simba na Yanga kuwekwa katika vyungu tofauti katika zoezi la upangaji wa makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu litakalofanyika Johannesburg, Afrika Kusini, Ijumaa, Oktoba 6...
Biashara United inavyoshindwa biashara ya soka MKOANI Mara pale mjini Musoma kuna timu ya soka inayoitwa Biashara United Mara inayoshiriki Ligi Kuu Bara.