Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8291 results for Mwandishi Wetu :

  1. Hawa hapa ‘mabingwa’ wa sare FKF-PL

    MABINGWA wa zamani Ligi Kuu Kenya, AFC Leopards, ni miongoni mwa timu sita ambazo zinaongoza kutoa sare nyingi hadi sasa msimu huu. Timu hizo sita kila moja zimeshuhudia mechi zao 10 zikimalizika...

  2. Dk Ndumbaro atoa neno kwa wawekezaji utalii

    Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Damas Ndumbaro amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji wa sekta ya utalii pamoja na kuendelea kuboresha huduma za kitalii nchini...

  3. Mastaa Ligi Kuu Bara kupata kiinua mgongo

    wa shirikisho na serikali kukuza soka nchini. “Kwa hatua hii ya leo nadiriki kusema Benki ya NBC si tu ni mdhamini wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, bali pia ni mshirika muhimu katika kukuza mchezo.

  4. Yanga ni bandika bandua kambini, Kaze aanika mkakati mpya

    pamoja kwa muda mrefu pamoja na mechi za kirafiki. "Tutatumia hizi mechi kuwaweka wachezaji kwenye hali nzuri haswa wale ambao walikuwa majeruhi na wengine hawakuwa na muda mwingi wa kucheza...

  5. ZILITRENDI: Beki Yanga nusura atekwe na Simba

    TAREHE kama ya leo, lakini mwaka 2004, beki wa Yanga kutoka Mbanga FC Kigoma, Ramadhan Rashid 'Carlos' alinusurika kutekwa na baadhi ya viongozi wa Simba. Habari zilizotrendi kipindi hicho...

  6. ZILITRENDI: Adhabu ya kina Matola yaivuruga Simba CAF

    KAMA kawaida Alhamisi kama leo katika ukurasa huu huwa tunaangalia mastori yaliyobamba miaka kadhaa iliyopita. Leo ikiwa ni Machi 31, lakini mwaka 2001, Chama cha Soka Tanzania (FAT, sasa TFF)...

  7. Huko mkiani mambo ni moto Kenya

    MATHARE United na Vihiga Bullets zinachungulia kushushwa daraja Ligi Kuu Kenya huku ‘playoff’ ikiilenga Wazito FC wakati Nzoia Sugar bado hawapo salama. Kwa mujibu wa kanuni za FKF-PL, timu mbili...

  8. JICHO LA MWEWE: Eti rafiki yangu Morrison analilia timu ya Taifa Ghana

    na acheze mara kwa mara kabla ya kuwa mchezaji wao muhimu zaidi katika michuano hiyo ambayo ingefanyika nchini kwao. Nimekumbuka kuhusu Neymar baada ya majuzi kuendelea kumsoma Bernard Morrison...

  9. Chama akwama kambi Simba

    MSHAMBULIAJI Yusuph Mhilu alikuwa mchezaji wa kwanza kutinga kambi ya Simba iliyoanza baada ya mapumziko mafupi ya siku tano, huku kiungo Clatous Chama akikwama kutua kwa wakati tofauti na...

  10. MTU WA MPIRA: Nani alimsajili Ajibu pale Azam?

    KUNA wakati unajiuliza viongozi wetu wa soka huwa wanafanya maamuzi kwa kufikiria kweli? Ni kama hili la Ibrahim Ajibu kusajiliwa pale Azam FC. Ni kweli walifikiria ama walimsajili tu kwa...

Previous

Page 762 of 830

Next