Kagere azua jambo Simba STRAIKA Meddie Kagere amekuwa mmoja wa mastraika wa kwanza wa Simba wanaotajwa kupigwa chini, lakini upepo umebadilika baada ya kuwagawa mabosi wa klabu hiyo katika makundi mawili, upande mmoja...
HISIA ZANGU: Morrison kutoka Yanga hadi kutua Yanga KAMA biashara ya magendo hivi. Juzi usiku Yanga walitangaza kumrudisha Bernard Morrison saa sita na dakika moja usiku. Kabla ya hapo ilikuwa moja kati ya siri ambazo zilitunzwa vibaya zaidi...
Mayele kutetema Zenji leo BAADA ya kutwaa mataji, kiungo fundi wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amemvusha maji Fiston Mayele tayari kwaajili ya mchezo wa kirafiki wa kuchangia watoto wenye uhitaji kisiwani Unguja.
Parimatch kugawa fursa kwa wateja wake Kampuni ya michezo ya bahati nasibu Parimatch imeamua kutoa fursa ya kipekee kwa wateja wake wote waliopo ndani ya nchi ya Tanzania, kwa kuwapa fursa ya kijanja ya Uwakala, inayowezesha...
Kichuya anukia Azam TAJIRI wa jiji la Dar es Salaam, Yusuf Bakhresa ameamua hivyo ndio unaweza kusema baada ya kuendelea kushusha vifaa ndani ya timu hiyo tayari kwa msimu wa 2022/23 na michuano ya kimataifa. Azam...
Morrison aomba uraia Tanzania Winga, Bernard Morrison amameuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuruhusu kupata uraia wa Tanzania kutokana na mapenzi aliyonayo kwa nchi.
Simba yavuna Sh1.1 bilioni msimu huu SIMBA imeshindwa kutimiza malengo iliyojiwekea msimu huu ambao ni kutetea ngao ya jamii, taji la Ligi Kuu, taji la Shirikisho la Azam (ASFC) pamoja na kutinga hatua ya nusu fainali ya mashindano...
R Kelly ahukumiwa miaka 30 jela Mwimbaji wa Marekani, Robert Kelly maarufu R Kelly leo amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kutumia hadhi yake ya kuwa nyota kuendesha mpango wa kuwadhulumu kingono wanawake na...
BABA LAO: Miaka 87 mataji 28 ya Ligi MCHANA wa jana jiji la Dar es Salaam lilichangamka wakati mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Yanga waliporejea kutoka Mbeya wakiwa na taji lao. Achana na vibe la mashabiki wa klabu hiyo walioipokea timu...
Okra: Tulieni nakuja Simba SIMBA inafanya mambo yake kimyakimya na staa mwingine wa kigeni ambaye atakuja kufufua maisha mapya ya kikosi hicho ameshusha mkwara mzito ndani ya kikosi hicho.