Shilton arudishwa Simba KOCHA wa zamani wa makipa wa Simba, Mohammed Mharami ‘Shilton’ amerudishwa Msimbazi kwa sasa akiunda benchi la ufundi la timu hiyo ambayo jana jioni ilikuwa uwanjani kumalizana na Nyasa Big...
ZA NDAANI KABISA: Makambo akizubaa anafyekwa Yanga UJIO wa Tuisila Kisinda ndani ya Yanga baada ya Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya TFF kutoa baraka zake kuanza kuitumikia timu hiyo, imewasha taa ya tahadhari kwa mshambuliaji Heritier...
Yanga yashtua Afrika! rekodi zageuka gumzo YANGA imeendelea kuboresha rekodi yake ya kucheza mechi mfululizo za Ligi Kuu Bara bila kupoteza, ikifikisha 41, baada ya Jumanne wiki hii kuifumua Mtibwa Sugar kwa mabao 3-0 katika pambano...
Geita Gold FC matumaini kibao wakiwavaa Wasudan Dar es Salaam. Matajiri wa madini, Klabu ya Geita Gold leo Jumapili, Septemba 11, 2022 wanarusha karata yao ya kwanza katika michuano ya kimataifa kwenye Kombe la Shirikisho barani Afrika kwa...
Wametisha, makocha watano waliokaa Simba SIMBA imeachana na Kocha Zoran Maki akiwa amekaa klabuni hapo kwa siku 67 tangu alipoajiriwa rasmi Julai 1 na kufutwa kazi Septemba 6 mwaka huu.
Mamilioni kiganjani mwako na Bingo ya Parimatch Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch imeamua kuwapa fursa mpya wateja wake kwa kucheza Casino kiganjani ambayo imesheheni zaidi ya michezo 200 mikali ndani yake ikiwemo BINGO na KENO...
Matola makocha wanakuja na kumuacha Simba KISTAAJABU ya Mussa utayaona ya Firauni; hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya Kocha wa Simba, Zorani Maki kuondoka huku akikimbizana na rekodi ya aliyewahi kuwa Kocha wa Yanga, Zlatko Krmpotic...
Nkoma atua kambi ya Simba Malawi KOCHA Mkuu wa kikosi cha timu ya wanawake cha Simba, Simba Queens, Sebastian Nkoma tayari ameshatinga kambi ya Simba iliyopo Lilongwe Malawi ili kuliongezea nguvu benchi la timu hiyo inayojiandaa...
Mgunda akwama Simba, Nkoma kutua Malawi MPANGO wa Simba kumtumia kocha Juma Mgunda katika mechi ya mkondo wa kwanza ya raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi Nyasa Big Bullets ya Malawi siku ya Jumamosi hii umekwama. Simba...
TFF yampiga STOP Kisinda, Yanga wacharuka TAARIFA ya kushtua kwa mashabiki wa Yanga ni usajili wa winga wao, Tuisila Kisinda umekumbana na sintofahamu kubwa kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya klabu hiyo kuandikiwa barua...