Eymael ashinda kesi, Yanga kumlipa Sh354 milioni Taarifa ya FIFA ilieleza Yanga imepewa siku 45 kuzilipa fedha hizo na wasipofanya ndani ya muda huo watafungiwa kusajili kwenye madirisha matatu.
Sakho avuliwa jezi fasta, Phiri atajwa STRAIKA wa zamani wa Simba na Taifa Stars, Emmanuel Gabriel ‘Batgol’, amekiangalia kikosi cha Msimbazi na kusema namba ya jezi aliyokuwa anaitumia enzi zake inayovaliwa kwa sasa na Pape Ousmane...
ZA NDAANI KABISA: Mnigeria mbioni kusepa Simba HUKO mtaani kwa sasa mjadala wa straika wa Simba, Dejan Georgijevic ‘Mzungu’ kuamua kujiengua ghafla kikosini kwa tuhuma za kukiukwa kwa baadhi ya vipengele vya mkataba wake na klabu hiyo ya...
Mashindano ya soka kwa watoto yazinduliwa Geita inayozunguka mgodi ambapo kupitia mpango huo, GGML ilijenga zaidi ya madarasa 600 mwaka wa 2018. “Watoto wadogo ndio kizazi cha baadaye na ndio wa kwanza kunufaika na uwekezaji wetu.
Kasi ya miguu yawapa viwanja mabingwa Kili marathoni Mabingwa wa mbio ya kilomita 42 ya Kilimanjaro 'Kili' marathoni msimu huu wamekabidhiwa viwanja huko Kigamboni, jijini Dar es Salaam. Wanaridha hao, Aloyce Felix Simbu na Anjelina John Tsere...
Ahmed: Mechi za nyumbani mapato madogo... Msemaji wa Simba kupitia akaunti yake ya Instagram amesema moja ya tatizo ambalo wanapaswa kulitatua ni mashabiki wa timu hiyo kutoenda uwanjani kwenye mechi zao za nyumbani Ally amesema idadi...
Serengeti Girls kuonja tamu, chungu ya VAR Kombe la Dunia TIMU ya Taifa ya Wasichana wenye umri chini ya miaka 17 ‘Serengeti Girls’, itaiwakilisha nchi katika fainali za Kombe la Dunia zilizopangwa kufanyika India kuanza Oktoba 11 hadi 30 mwaka...
MZEE WA UPUPU: Jina la Manyara Stars limeshaachwa? TIMU za Taifa za Soka za Tanzania zimekuwa kwenye harakati mbalimbali ndani ya mwezi huu wa Septemba. Serengeti Boys, Timu ya Taifa Chini ya Miaka 17, iko kambini Karatu ikijiandaa na Mashindano...
Yanga: CEO mpya ni mwanachama hai, ana kadi Uongozi wa klabu ya Yanga umetolea ufafanuzi kigezo cha kuchaguliwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo kutokana na tangazo la maombi ya kazi kuainisha anatakiwa kuwa mwanachama hai wa...
Bosi mpya Yanga aanza na Al Hilal Mtine ameanza kushusha hesabu zote zitakazoisadia Yanga kuwashangaza matajiri hao wa Sudan, ikiwemno mikakati ya kocha wa timu hiyo Florent Ibenge ambaye ni raia wa DR Congo.