Nabi: Mzize mashine, afichua kilichomkuta Mayele KOCHA wa Yanga, Nasreddine Nabi amekiri kufanya mazungumzo na Clement Mzize kabla ya mchezo wa mchezo wa Kagera na kumsisitiza chipukizi huyo kuwa yeye ni mashine, ajiamini na akakiwashe dhidi ya...
Droo Ligi ya Mabingwa, Shirikisho Afrika yapigwa kalenda Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza kusogeza mbele droo ya hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho. Awali droo hiyo ilikuwa ifanyike kesho Novemba 16 nchini Misri...
Sababu wana Hip hop kuachana na ngumu nyeusi Kwa miaka mingi nchini wasanii wa Hip Hop au Rap walifanya harakati zao kupitia muziki huo. Wasanii kama Sugu, Profesa Jay, Wagosi wa Kaya, Kali P, Afande Sele, Izzo Bizness, Roma, Bonta, Nay wa...
ZA NDAANI KABISA: Yanga bado inampigia hesabu Mbrazil YANGA inaona bado inakosa huduma ya winga wa kisasa anayejua kutengeneza mashambulizi makali wakati wakisubiri ratiba ya kujua wataangukia kundi lipi katika hatua ya Makundi ya Kombe la...
NBC yamwaga mikopo ya mabasi klabu Ligi Kuu wa bima kwa wachezaji, benchi za ufundi na familia za wachezaji wote wa ligi hii ya NBC Premier League. “Tunaamini kuwa Bima hizi ambazo tunazitoa kupitia kampuni washirika za Britam na...
MZEE WA UPUPU: Yanga hujipa majina yanayowakera wao LABDA nianze kwa kukuuliza swali ndugu msomaji. “Ni majina mangapi ya utani ya klabu ya Yanga umeshawahi kuyasikia maishani mwako?” Kama wanavyosema wahenga, ukiona nyani mzee ujue amekwepa...
Nabi afunguka alichoambiwa kuhusu Africain kwamba watacheza kwenye mchezo ujao,” alisema Nabi. “Sisi tutajiandaa kwa mkakati wetu wa kutafuta ushindi wa kukabiliana na yoyote, kitu bora zaidi kama nilivyosema kabla tunatakiwa...
Wala mihogo ndo wenye Yanga yao , lakini wakati wa Gulamali mambo yakawa tofauti. Angeweza kumpa fedha mchezaji mahiri wa Simba ahamie Yanga. Huyu ndiye marehemu Gulamali. Ndio sababu hadi leo Azim anadai kuwa Gulamali ndiye...
ZA NDAANI KABISA: Kambole, Yacouba kung'oa watu Yanga YANGA tayari ipo Tunisia baada ya kuondoka juzi mchana na kulala Dubai, huku makocha wa timu hiyo wakiwa na presha kubwa ya mechi ya marudiano ya ugenini dhidi ya Club Africain ya huko, lakini Za...
Simba, Yanga zatoa salamu za pole ajali ya ndege Bukoba Hadi sasa jumla ya watu 19 wamefariki dunia huku wengine wakiokolewa wakiwa na majeraha mbalimbali na tayari wanaendelea kupatiwa matibabu mkoani humo.