Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Droo Ligi ya Mabingwa, Shirikisho Afrika yapigwa kalenda

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza kusogeza mbele droo ya hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho.


Awali droo hiyo ilikuwa ifanyike kesho Novemba 16 nchini Misri lakini taarifa iliyotolewa na CAF imesema tarehe mpya itatangazwa.


"CAF inaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza," ilieleza sehemu ya taarifa hiyo.


Tanzania inawakilishwa na Simba katika Ligi ya Mabingwa Afrika na Yanga Kombe la Shirikisho.