Matola mjanja ashtukia jambo KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola ni kama ameshtukia jambo baada ya kuamua kurudi darasani kusoma lugha ili kwenda sawa na makocha wakubwa wanaokuja kufundisha soka hapa nchini, hususan...
Nabi awapa mbinu Mayele, Bangala YANGA iko kazini ikijiandaa na mechi mbili, moja ni leo ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo kabla ya kusafiri kwenda Tunisia kuifuata US Monastir katika mchezo wa makundi ya Kombe la Shirikisho...
Yanga yamfuata mwarabu kishua MECHI sita za hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, zinaipa uhakika Yanga kuvuna Sh 2.1 bilioni, lakini jambo la kufurahisha zaidi ni namna fedha hizo zinavyowapa jeuri vijana wa...
Msonda gari limewaka, mjipange STRAIKA mpya wa Yanga, Kennedy Musonda mwishoni mwa wiki alifunga mabao mawili wakati timu hiyo ikiifumua Rhino Rangers kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho (ASFC) 7-0 na sasa ametuma salamu nzito...
Burudika na Cashout ya Parimatch Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch imeendelea kuwanufaisha wateja wake wote kwa kuwapa fursa zenye faida kubwa, ambapo kwa sasa watumiaji wake wataweza kuokoa kiasi cha fedha katika...
NBC yakabidhi zawadi kwa Bruno Gomes, kocha Pluijm Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambao ni mdhamini mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League mwishoni mwa wiki ilikabidhi zawadi ya pesa na tuzo kwa mchezaji bora wa ligi...
Ishu ya Yanga, SportPesa ipo hivi... SAA chache tu tangu Yanga imtangaze mdhamini mpya wa mechi sita za Kombe la Shirikisho Afrika, kampuni ya SportPesa ambayo ni Mdhamini Mkuu wa klabu hiyo nayo imetoa tamko la kusikitishwa na...
Yanga yafafanua mazungumzo na SportPesa SportPesa ingawa hawakuonyesha kukubaliana na mdhamini huyo. "Tuliwatafuta mara nyingi kuanzia Novemba mwaka jana baada ya kufuzu hatua ya makundi, tukawaambia kimaandishi kwamba tunatafuta...
Yanga yapeleka jezi ya bahati CAF YANGA juzi ilizindua jezi zake itakazozitumia katika mashindano ya kimataifa lakini uzinduzi huo umekuja na mabadiliko ambayo imeyafanya ikiamini yanaweza kuwa chachu ya kufanya vizuri katika...
MO Dewji tajiri namba moja Afrika Mashariki na Kati Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'MO' Dewji amepanda kwa nafasi mbili katika orodha ya watu matajiri zaidi Afrika kwa mujibu wa jarida la Forbes akishika nafasi ya 13 kwa sasa huku...