Mjadala wa Simba, Yanga unafia hapa MECHI ya Simba na Yanga ndiyo kubwa ambayo inasubiriwa kwa siku chache zijazo kabla timu hizo hazijacheza michuano ya kimataifa siku chache mbele. Mechi hii ni ya pili kwenye Ligi Kuu Bara msimu...
Siku 52 Yanga kuweka rekodi Yanga ina siku 52 za kuandika historia kuwa timu ya kwanza Tanzania kutwaa mataji manne ndani ya msimu mmoja ikiwa itachanga vyema karata katika mashindano matatu tofauti inayoshiriki.
Robertinho afichua siri za Baleke KAMA kuna jina likitajwa linawashtua mashabiki wa Yanga basi ni mshambuliaji Jean Baleke ambaye ameuwasha moto mkali wa kupiga mabao na sasa kocha wake amewapa mabosi wa klabu hiyo ramani ya...
Beki la krosi mguu mmoja ndani Simba BAADA ya kuikandamiza Ihefu FC mabao saba ndani ya siku nne, Simba imeendeleza kilio ndani ya timu hiyo ikidaiwa kumalizana na beki wa kushoto wa timu hiyo, Yahya Mbegu.
Sakata la Fei Toto kusikilizwa Mei 4, Yanga yamuita mezani Kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' alifika mbele ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji leo Aprili 12 kujua hatma ya barua yake ya kuomba kuvunja mkataba na klabu ya Yanga. Fei Toto aliongozana...
Kipa Mghana awaonya Wydad Dar KIPA wa Orlando Pirates Richard Ofori amewapa tahadhari Wydad Casablanca na kuwaambia wawe makini wanapotua kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Wydad ambao ni mabingwa watetezi...
Simba: Hatupo tayari Yanga atangaze ubingwa kwetu ubingwa halikubaliki. "Hii historia mbaya tukiiruhusu itaishi vizazi na vizazi,Simba haiwezi kukubali hili litokee, tutakuwa na dakika tisini za kwenda kulinda heshima ya Simba mbele ya...
Robertinho: Waleteni hao Yanga lakini hata sisi tunaitaka hii mechi ili tuthibitishe ubora wetu mbele ya mashabiki wetu jambo zuri imekaa sehemu nzuri kwani kama tukishinda basi tutakuwa tumefanya maandalizi...
Kisa mabao Simba yamzuia Baleke JEAN Baleke ameendelea kuwafunga mdomo waliokuwa wakimchukulia poa mara alipotua Simba kwenye dirisha dogo, baada ya jamaa kufunga jumla ya mabao 12 yakiwamo matano ya Ligi Kuu, manne ya Kombe la...
KMC yapewa motisha bao moja Sh500,000 KMC FC "Kino boyz" inayoshiriki Ligi kuu ya NBC imeahidiwa na Mdhamini wao Mkuu Meridianbet Tanzania kupewa Tsh 500,000/= kwa kila goli ambalo klabu hiyo itapata katika michezo ya ligi kuu...