Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8268 results for Mwandishi Wetu :

  1. PRIME Kaze, Mkude wanukia Singida Big Stars

    TETESI ZA USAJILI KAZE - Wakati kocha wa Singida Big Stars, Hans Pluijm akitajwa kupewa mkono wa kwaheri, kocha msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze ndiye anatajwa anaweza kurithi mikoba yake. MKUDE...

  2. PRIME Taifa Stars hakuna namna

    HAKUNA namna zaidi ya ushindi. Ndivyo hesabu zilivyo kwa timu ya taifa, Taifa Stars wakati leo jioni itakapoikaribisha Niger katika mechi ya raundi ya tano ya Kundi F kuwania tiketi ya fainali za...

  3. PRIME Kocha Simba atajwa Coastal

    KOCHA wa zamani wa Simba, Goran Kopunovic na Javi Martinez raia wa Mexico mmoja wapo huenda akatua kwa Wagosi wa Kaya (Coastal Union) msimu ujao wa Ligi Kuu Bara. Goran raia wa Serbia aliwahi...

  4. Yanga yamkosa Mosimane

    Kocha Pitso Mosimane raia wa Afrika Kusini ikiwa imepita siku mbili baada ya kuachia barua ya kuthibitisha kuondoka klabu ya Al Ahli ya Saudi tayari amepata timu mpya. Mosimane ambaye...

  5. PRIME Yanga yashtuka dili la Djuma, Bangala kwenda Simba

    YANGA imekubali kiroho safi kuachana na Kocha Nasreddine Nabi. Lakini kimeibuka kitu kingine ambacho ni zaidi ya kivumbi na jasho na hakuna anayetaka kukitolea tamko. Mastaa wao tegemeo watatu...

  6. PRIME Mrithi wa Nabi pasua kichwa

    Kocha Nasredine Nabi ameng'oa nanga Jangwani amegoma kuongezewa mkataba mpya na uongozi ukamtakia kila kheri tayari ameanza mazungumzo na vyuma viwili ambavyo muda wowote watafanya uamuzi wa mwisho.

  7. PRIME Kiboko ya Nabi huyu hapa

    YANGA inajiandaa kuanza maisha mapya bila ya kocha Nasreddine Nabi aliyekaushia mkataba mpya, huku akiwa ameweka heshima kubwa kwa miaka miwili na ushei akiwapa jeuri mashabiki wa klabu hiyo...

  8. PRIME Nabi fundi sana apewe maua yake Jangwani

    NAMBA hazidanganyi. Namba hazijawahi kuongopa, hata iwe vipi! Na hivi ndivyo kazi kubwa ya Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ilivyo. Ufanisi wake, upo wazi hata kwa mtu asiyejua soka. Apitua...

  9. PRIME Maswali tata tuzo za TFF 2023

    GUMZO la tuzo za Ligi Kuu bado halijaisha kutokana na mambo mengi ambayo yalitokea pale mkoani Tanga. Ni jambo zuri kuona tuzo zinatolewa na wachezaji kadhaa wanashinda tuzo hizo, pongezi kwa...

  10. PRIME Simba mpya goma limewaka, wakubaki, kusepa na wapya

    SIMBA imemaliza msimu ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara nafasi ambayo ilimaliza nayo msimu uliopita. Kwenye Ligi Kuu hayo siyo mafanikio makubwa kwa kuwa matarajio yao...

Previous

Page 702 of 827

Next