Mayele augomea mshahara Sh34 milioni Habari za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kwamba Mayele ameugomea mshahara wa zaidi ya Sh34 Milioni alizoahidiwa kulipwa ilimradi abakie klabu hapo. Nyota huyo aliyemaliza msimu uliopita kama...
PRIME MTU WA MPIRA: Mkude, kila enzi zina mwisho wake NI ngumu sana kufikiri. Ni ngumu pia kuamini. Baada ya miaka 13 ndoa ya Jonas Mkude na Simba imevunjika. Ni huzuni sana. Siku zote watu hufahamu mwanzo wao lakini mwisho huwa mgumu sana. Ni Kama...
PRIME Tatizo si Mayele wala Chama FISTON Mayele anatisha. Ameliteka soka la Tanzania. Amekimbiza hadi Afrika. Anafunga kwa kichwa. Anafungwa kwa mguu wa kulia. Anafunga kwa mguu wa kushoto. Anafunga pia kwa tikitaka. Yaani mabeki...
PRIME Mtibwa v Geita Gold Bonge la fainali U-20 Dar es Salaam.Ligi Kuu ya Vijana U-20 inafikia tamati leo kwa kupigwa bonge la fainali inayozikutanisha Geita Gold na watetezi Mtibwa Sugar zilizopenya hatua hiyo baada ya kushinda mechi za mechi...
PRIME Kwani anatakaje? Hadi mshahara huu kaukataa MABEKI Yannick Bangala na Djuma Shaban wamemalizana na Yanga na kupunguza presha za mashabiki wa klabu hiyo walikuwa na hofu kwa nyota hao kutimka. Kilichowashangaza wakubwa wa klabu hiyo ni...
PRIME Ishu ya Banda Simba ipo hivi WAKATI Simba ikiwa hatua za mwisho kumpa 'Thank You' kiungo Ismael Sawadogo, winga Peter Banda anadaiwa kugoma kupelekwa kwa mkopo katika timu nyingine akitaka avunjiwe mkataba kama hayupo kwenye...
PRIME Azam, Mtibwa patachimbika Chamazi LIGI Kuu ya Vijana U-20 imefikia patamu wakati leo mechi za nusu fainali zitakapopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar es Salaam, huku macho na masikio ya mashabiki yakiwa kwenye...
PRIME Si mchezo huyu kapatia, yule kachemsha SIO kazi ndogo kumuona mchezaji anang'ara ndani ya vikosi vya Simba, Yanga na Azam, lazima afanye kazi ya ziada kuonyesha kiwango cha kujitofautisha na wengine, hiyo inatokana na aina ya...
PRIME Kocha Yanga: Nileteeni winga huyu fasta AKIWA kwao America lakini kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amepitisha usajili wa winga mmoja anayejua kutupia asisti za maana akisema anataka amkute mjini kabla ya hajafika. Kocha Gamondi...
PRIME Nabi apewa saa 48 Kaizer Chiefs ALIYEKUWA kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema ndani ya saa 48 mustakabali wake na Kaizer Chiefs utakuwa umejulikana. Nabi aliachana na Yanga baada ya kumalizika kwa msimu uliopita akiwa...