PUMZI YA MOTO: Kuna jambo Yanga inapaswa kulifikiria sasa BAADA ya ushindi wa ugenini wa bao 1-0 dhidi ya TP Mazembe kwenye mechi ya mwisho ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Afrika, Rais wa Yanga, Hersi Said aliposti picha akiwa ndani ya...
PRIME CAF kuipa neema Simba SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika(CAF) limebadilisha jina la mashindano yake mapya, lakini Rais wake,Patrice Motsepe amesisitiza kwamba yatakuwa na neema kubwa ya mkwanja Simba ikiwa mshiriki...
PRIME Sasa ni Gamondi na Mkude YANGA wameshamalizana asilimia kubwa kimazungumzo na kiungo, Jonas Mkude lakini wameliacha faili lake kwa Kocha Miguel Gamondi afanye uamuzi wa mwisho muda wowote wiki hii atatangazwa. Mkude...
Hii ya Mayele kufuru MASHABIKI na wapenzi wa Yanga wamekaa mkao wa kula kusikilizia hatma ya straika na Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita na Kombe la Shirikisho Afrika, Fiston Mayele ambaye inaelezwa jana...
PRIME MTU WA MPIRA: Kocha Azam FC anajichimbia kaburi lake mwenyewe AZAM FC imeamua kujiimarisha vilivyo kuelekea msimu mpya wa mashindano. Huhitaji kuwa na elimu ya Chuo Kikuu kuweza kuona hili kwani matajiri wa Chamazi wameamua.
PRIME Hapa Simba ishindwe wenyewe tu SIMBA ina kibarua cha kufanya usajili wa idadi kubwa ya wachezaji kulinganisha na Yanga na Azam FC, lakini ina faida moja ambayo ikiitumia vyema inaweza kuwazidi kete wahindani wake hao...
PRIME Gamondi aanza na vikao vizito, ateta na Mwanaspoti KOCHA Mpya wa Yanga Miguel Gamondi tayari yupo nchini kuanza kibarua akiwa ndani ya ardhi ya Tanzania, lakini alipotua tu kauli ya kwanza ikawa ni makombe na soka la maana kwa timu yake, kisha...
PRIME Maxi apewa Azam FC, Onana kuanza na Singida MKWAKWANI Tanga patachimbika wakati mechi nne za Ngao ya Jamii zitakapaopigwa kuanzia Agosti 9 hadi 13, ambapo mashabiki wa Simba, Yanga, Azam na Singida Big Stars wataanza kuziona mashinie mpya...
PRIME Ishu ya usajili wa Kramo Simba SIMBA iliendelea kushuka majembe mapya baada ya kutambulisha yule winga aliyeripotiwa mapema juzi na Mwanaspoti kwamba ameshasaini mkataba wa miaka miwili, Aubin Kramo Kouame kutoka ASEC Mimosas...
Wakiamua, mbona wanatoboa freshi tu SIKUMBUKI mwezi, lakini ilikuwa 2007 Simba ilifanikiwa kumsajili beki wa kati mwenye mwili jumba kutoka Tusker ya Kenya. Namzungumzia George Owino aliyewahi pia kukipiga Yanga kwa misimu miwili...