Wakali NBA wapiga shoo moja WAKATI ulimwengu wa mpira wa kikapu uliposherehekea mechi za NBA za siku ya Krismasi, wachezaji watatu bora zaidi katika historia ya ligi hiyo, Kevin Durant, LeBron James, na Stephen Curry...
PRIME Simba robo fainali CAF hii hapa, andaeni suti SIMBA jana usiku ilifanya makubwa huko Tunisia ikiipasua CS Sfaxien kwa bao 1-0 la kiungo Jean Charles Ahoua, huku kocha mkuu wa timu hiyo na hivyo Simba kufikisha pointi 9 katika msimamo wa...
PUMZI YA MOTO: Tutarajie msimu wa Ligi kwisha Julai NAAM Ligi Kuu England imesimama hadi Machi Mosi, 2025. Hii ni kwa sababu ya kupisha Kombe la Mapinduzi, kambi ya timu ya taifa kujiandaa na Chan na mwisho Chan yenyewe.
Man United kuvunja benki kusaka washambuliaji RUBEN Amorim atalazimika kuvunja benki kupata washambuliaji wenye uwezo wa kufunga mabao wakakipige Old Trafford.
NIONAVYO: Al Hilal na hatma ya Yanga SC kwenda robo fainali nyingine NI jambo ambalo halikutarajiwa sana wakati makundi ya Ligi ya Mabingwa yakitajwa. Hakuna aliyeamini Al- Hilal Omdurman ya Sudan, ingekuwa ya kwanza Afrika kufuzu kwa robo fainali ya michuano hiyo...
Mfahamu King Kazu babu anayecheza Ligi ya Japan NI mazoea kwa wanasoka wengi duniani wamekuwa wakiachana na soka mara baada ya kufikisha miaka 33, lakini mambo ni tofauti kwa Kazuyoshi Miura ambaye ameishangaza dunia.
Simba, Yanga zambakisha Karia madarakani, TFF yafafanua Klabu za Simba na Yanga kwa pamoja zimeshawishi wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF, kuamua Wallace Karia aendelee kuwa rais wa shirikisho hilo kwa awamu ijayo kabla hata ya uchaguzi wake mwakani...
Nani awatetee wachezaji wa Tanzania! Kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya Hispania, Rodrigo Hernández Cascante maarufu zaidi kama Rodri, amegonga vichwa vya habari baada ya kauli yake ya kishujaa kwa mamlaka za mpira duniani.
Tanzanite! Viwanja vitatu kupewa fainali FA Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) liko mbioni kubatilisha uamuzi wa fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB kuchezwa katika Uwanja wa Tanzanite, Babati mapema mwezi ujao huku viwanja...
Yanga yapata hasara, yaanika usajili na mishahara ya kina Pacome, KI 2023/2024 KLABU ya Yanga SC imepata hasara ya zaidi ya Sh1 bilioni kwa mujibu wa ripoti yake ya mapato na matumizi kwa msimu wa 2023/2024. Ripoti hiyo iliyowasilishwa leo katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa...