Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8268 results for Mwandishi Wetu :

  1. Pacome, Mudathir waweka rekodi Yanga

    YANGA imebakiza mabao 45 tu katika mechi 25 zilizobaki Ligi Kuu ili ifikie rekodi yake ya ufungaji ya msimu uliopita, lakini tayari imejiwekea rekodi mpya ya kufunga idadi kubwa zaidi ya mabao...

  2. Yanga ya Gamondi inavyomtesa Robertinho Simba

    SIMBA kwa sasa hawana raha. Wanachama na wapenzi wa klabu hiyo na hata baadhi ya viongozi wanatamani wamteme Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’. Wanaona kama anawazingua kwa sasa. Ni kweli timu...

  3. JKT Queens kundi moja na Mamelodi

    Klabu ya JKT Queens imepangwa kundi A katika michuano ya Ligi ya Mabingwa kwa Wanawake yatakayofanyika nchini Ivory Coast kuanzia Novemba 5 hadi 19 mwaka huu. Katika kundi hilo atavaana na timu...

  4. Kwa hili.. Simba, Yanga zimepiga bao..

    NMB ambao ndio wenye jambo lao, lengo ni kuhakikisha kila mwanasimba anaelewa na kuufahamu mfumo huu ambao utakuwa na manufaa makubwa,” anasema Ahmed. Anasisitiza, Simba walianza kufanya hivyo...

  5. Uwanja wa Mkapa bado siku tano

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro amekagua maendeleo ya ukarabati ya awamu ya kwanza yanayoendelea katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar na kusema umefikia asilimia 95 na...

  6. Miezi miwili ya kibabe Yanga

    Umebaki muda usiozidi wiki moja ili itimie miezi miwili tangu msimu wa soka wa 2022/2023 uanze hapa nchini na tayari tumeshuhudia msisimko na mvuto wa aina yake kwa mechi mbalimbali za mashindano...

  7. PRIME Miezi miwili ya kibabe Yanga

    akiwapiku Roberto Oliveira ‘Robertinho’ wa Simba pamoja na Hemed Suleiman ‘Morocco’ wa Geita Gold wakati upande wa mchezaji bora mshindi alikuwa ni Maxi Nzengeli aliyewapiku Jean Baleke wa Simba...

  8. Salute! Huyu Bocco apewe maua yake

    KUNA John Bocco mmoja tu nchini. Jamaa mmoja mrefu, ‘kauzu’ flani mwenye mzuzu kidevuni. Huyu ndiye nahodha wa Simba akitimiza msimu wa saba akiwa na kikosi hicho. Simba ilimnyakua msimu wa...

  9. PRIME Yanga, Geita Gold kusaka majibu

    Baada ya kupoteza mechi zao zilizopita za Ligi Kuu kwa matokeo yanayofanana, Geita Gold na Yanga zinakutana leo kwenye mechi itakayofanyika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza kuanzia saa 10:00...

  10. Mbio za Saifee kusaidia Wanawake

    JANA jijini Dar es Salaam zilifanyika mbio maalumu kwaajili ya kuchangia matibabu ya saratani ya matiti kwa wanawake. Mbio hizo zilizoandaliwa na Hospital ya Saifee, ziligawanywa kwa kilometa...

Previous

Page 685 of 827

Next