Yanga akili kubwa, Yacouba OUT BAADA ya mapumziko ya siku 10 tangu walipocheza mchezo wa mwisho, Yanga jana ilirudi mazoezini kuanza kujiandaa na muendelezo wa ligi na ratiba yao iko hivi. Kikosi hicho kimerudi kazini kikiwa...
IMELIPIWA: FIBA watembelea Premier Project, wafurahishwa na uwekezaji uliofanyika Tanzania ni miongoni mwa mataifa ambayo yanajipambanua kufanya vizuri kwenye mpira wa kikapu japokuwa mwamko wake sio mkubwa ukilinganisha na mpira wa miguu.
Yanga yaizidi kete Rivers United YANGA tayari ipo Uyo, Kusini mwa Nigeria kukiwasha na wenyeji Rivers United leo Jumapili. Lakini River wamezidiwa kete na Yanga na kujikuta wakikuna kichwa jinsi ya kuwakabili ndani na nje ya...
PRIME Okrah apewa mkataba mgumu Yanga KIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga, Augustine Okrah tayari ameshatambulishwa ndani ya klabu hiyo jana wakati timu yake ikiwa uwanjani kwenye pambano la michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024, lakini...
Pacome, Hausung Vita ni vita BAADA ya mashabiki wa Yanga kukaa muda mrefu bila kuiona ikicheza tangu ilipotolewa kwenye Kombe la Mapinduzi, Januari 7, leo itarejea uwanjani katika mechi ya hatua ya 64 bora ya Kombe la...
Bandari, URA zachomoa Mapinduzi Cup TIMU za Jamus wa Sudan Kusini na vinara wa Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL), JKU zimeongezwa kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 itakayoanza rasmi Alhamisi kuchukua nafasi za Bandari FC ya Kenya...
Kocha: Huyu Guede anafunga kama Mayele SIKU chache zimepita tangu Yanga kumsajili mshambuliaji kutoka Ivory Coast, Joseph Guede, kocha wa ASEC Mimosas, Julien Chevailer amewatoa hofu wanayanga kwa kuwaambia wajiandae kufurahi kwani...
Simba kujua mbivu au mbichi MBIVU na mbichi kuhusu rasimu ya mabadiliko ya Katiba ya Simba inatarajiwa kufahamika leo wakati viongozi na wanachama wa klabu hiyo watakapokutana jijini Dar es Salaama kufanya Mkutano Mkuu wa...
Simba noma! Yanga yaporwa staa hotelini, Azam wabaki na mkataba wao WhatsApp SIMBA haina masikhara kabisa na maandalizi ya msimu ujao. Baada ya kufika hatua ya Robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika huku wakibakisha hatua chache kutwaa taji la Ligi Kuu Bara (VPL), Simba...
Mbabe, Kiduku wazidi kuporomoka, kwa Mwakinyo mh...! Mabondia Hassan Mwakinyo, Dullah Mbabe na Twaha Kiduku wameporoka kwenye ubora wa Tanzania katika kila uzani (pound for pound). Mbali na ubora wa Tanzania, Mwakinyo pia ameporoka kwenye uzani...