Dakika 180 za presha Yanga, Simba makundi hivyo tunafahamu tunakabiliwa na mechi ngumu lakini huu ni wakati wa kuonyesha kwamba Simba ni timu kubwa Afrika. Tunawaandaa vyema wachezaji wetu kwa ajili ya mechi hiyo na tunaamini...
Malisa azindua Mr Right msimu wa tano Dar es Salaam. Msimu wa tano wa kipindi cha Hello Mr Right unatarajia kuanza Desemba 2 ambapo vijana zaidi ya 30 watashiriki kutafuta wenza. Mkurugenzi wa Masoko na Maudhui kutoka Startimes...
Gamondi alia na umakini, hesabu kwa Ahly Wakati Yanga ikirejea leo alfajiri ikitokea Algeria, kocha wao Miguel Gamondi amesitisha kutoa mapumziko kwa wachezaji wake huku akifichua siri ya kupoteza mechi yao dhidi ya CR Belouizdad juzi...
Pazi mambo magumu, bado moja Mohamed Mbwana amesema kuwa; "Tulishindwa kutumia vizuri nafasi tulizopata, mechi ilikuwa ngumu hivyo kwasasa tunajipanga na mchezo wa baadaye ingawa nao hautakuwa rahisi kwani wapinzani...
Simba yakiri kosa, kuilipa Teungueth Uongozi wa klabu ya Simba umekiri hakukuwa na mawasiliano na klabu ya Teungueth ya nchini Senegal iliyoshinda kesi ya madai kuhusu dili la Pape Sakho kwenda Ufaransa. Mchana leo ilitoka taarifa...
Simba yafungiwa kusajili Shirikisho la Soka la kimataifa (FIFA) limeifungia kusajili Simba SC hadi ilipe madai ya klabu ya Teungueth ya Senagal kuhusu dili la mchezaji Pape Sakho. Barua ya Shirikisho la Soka nchini...
Simba kumng'oa Maxi Yanga, klabu yawekewa fungu la maana YANGA wako Algeria na kesho watapambana na CR Belouizdad ya huko kwenye mechi ya kwanza ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika lakini huku nyuma watani wao, Simba kuna eneo wanataka kuwagusa...
Pazi yaanza na kichapo Road to BAL 2024 WAWAKILISHI wa nchi kwenye michuano ya kuwania kufuzu fainali za klabu bingwa Afrika kwa mchezo wa mpira wa kikapu (BAL), Pazi wameanza vibaya mchezo wao kwanza wakifungwa pointi 84-57. Pazi...
Mastaa Ulaya wapata tuhuma nzito Afrika Kuczynski, mwandishi wa kitabu cha uhakika ‘African marabouts in Paris’, alipata wateja wanaotoka katika wigo mpana wa kijamii, kutoka kwa wahamiaji wasio na vibali hadi wahitimu na walimu.
Timu ya taifa gofu hata miaka 50 freshi tu kama Afrika Kusini imeendelea sana kwa upande wa vijana, mkakati wetu kama TGU ni kufanya mapinduzi makubwa kwa upande huo ili tupate wawakilishi wazuri mwakani,” anasema