Bodaboda asepa na Sh51 milioni Mkazi wa Kimara Peter Patric ameibuka kidedea akijishindia kiasi cha sh 51.1 milioni kupitia michezo ya kubashiri. Patric ambaye ni dereva wa pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda amejishindia...
Benchikha aitaka fainali CAF HUKO Simba kumekucha. Wameondoka leo kwenda Botswana kwa majukumu ya kimataifa, lakini kocha ametikisa kwelikweli huko kambini juzi jioni. Kocha mpya, Abdelhak Benchikha alipokutana na wachezaji...
Bacca: Sasa ndio tutaelewana vizuri BACCA amejifunga Yanga. Mkataba mpya wa staa huyo ambaye jina lake halisi ni Ibrahim Hamad ‘Bacca’ unakoma mwaka 2027. Amewaambia mashabiki kwamba wajiandae kuona ubora zaidi kutoka kwake...
Mwinjuma awaita wadau wa michezo michezo inavyotoa kwa shule za msingi na sekondari katika mikoa mbalimbali hapa nchini. ‘Mmeonyesha dhamira na nia njema ya kuinua vipaji vya vijana na kuwezesha maendeleo ya michezo nchini.
Ahadi mbili za kocha mpya Simba Benchikha ambaye kabla ya kujiunga na Simba aliiongoza USM Alger ya Algeria kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika na ule la CAF Super Cup, alisema atahakikisha Simba inarudisha heshima ya...
Kwa refa huyu Yanga ishindwe yenyewe Abdel Aziz Mohamed Bouh kutoka Mauritania, ndiye refa aliyepangwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kuchezesha mechi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya Yanga na Al...
Yanga iliomba wachezaji watatu Simba NOVEMBA 24, 2023 ilikuwa siku ya kihistoria kwa klabu ya kihistoria kwenye mashindano ya kihistoria. Ni siku ambayo klabu ya soka ya Yanga ya Tanzania ilikuwa ikirejea kwenye hatua ya makundi ya...
Simba yabadilishiwa uwanja Botswana Mchezo kati ya Jwaneng Galaxy na Simba wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya pili ambao awali ulipangwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Taifa wa Botswana, sasa utachezwa kwenye Uwanja wa Obed Itani...
Dakika 180 za presha Yanga, Simba makundi hivyo tunafahamu tunakabiliwa na mechi ngumu lakini huu ni wakati wa kuonyesha kwamba Simba ni timu kubwa Afrika. Tunawaandaa vyema wachezaji wetu kwa ajili ya mechi hiyo na tunaamini...
Malisa azindua Mr Right msimu wa tano Dar es Salaam. Msimu wa tano wa kipindi cha Hello Mr Right unatarajia kuanza Desemba 2 ambapo vijana zaidi ya 30 watashiriki kutafuta wenza. Mkurugenzi wa Masoko na Maudhui kutoka Startimes...