Yanga yagomea chumba cha kubadilishia nguo Kwa Mkapa Muda mfupi baada ya Yanga kuwasili katika Uwanja wa Mkapa, wamelazimika kugomea kuingia kwenye chumba cha kubadilishia nguo. Maofisa wa Yanga waliotangulia kukagua chumba hicho walionekana...
Vita ya mabingwa wa CAF yaanza upya! Achana na Kariakoo Dabi itakayopigwa kuanzia saa 11:00 jioni kwa vigogo Simba na Yanga kuvaana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, saa moja kabla huko Lubumbashi, DR Congo kutakuwa na vita ya nusu...
Azam FC yasajili beki kutoka Mali AZAM FC imefikia makubaliano na Akademi ya Yeleen Olympique ya Mali kwa ajili ya kumnunua mchezaji wa kimataifa wa nchi hiyo, Yoro Mamadou Diaby. Mlinzi huyo wa kati ambaye alikuwa kwa mkopo...
PRIME Kanuni yaongeza utata sakata la Dube, Azam FC Wakati kukiibuka tetesi mkataba ulioongezwa wa Azam FC na Prince Dube hakuwasilishwa katika Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kanuni za Ligi Kuu 2023/2024 zinakinzana katika kuamua upande upi...
Wababe wanne Ligi ya Mabingwa Ulaya Ligi ya Mabingwa Ulaya ilimaliza hatua ya robo fainali juzi baada ya vigogo wa England Manchester City na Arsenal kuondolewa kwenye michuano hiyo kwa usiku mmoja
Mechi inayofuata baada ya kipigo kikubwa -3 TUNAENDELEA na simulizi zetu za mechi ijayo ya watani wa jadi, Aprili 20 mwaka huu…yaani Jumamosi hii! Hii ni mechi ya kwanza tangu Yanga wawape watani wao Simba kipigo kikubwa cha 5-1, Novemba...
PRIME Acha inyeshe tujue panapovuja Dabi ya Kariakoo PRESHA ya mchezo wa ‘Kariakoo Dabi’ kwa mashabiki wa Yanga na Simba nchini tayari imeanza kupanda wakati ikibakia siku moja tu kwa miamba hiyo kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kesho...
Pingamizi Mwakinyo latupiliwa mbali MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana Alhamisi imefanya uamuzi mdogo wa kutupilia mbali pingamizi lililoweka na bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo katika kesi ya madai inayomkabili...
Penalti ya Silva yazua gumzo, Lunin afichua siri Kwa kawaida katika soka wadau, makocha na wachezaji wana usemi kuwa penalti huwa hazina mwenyewe. Ndivyo unavyoweza kuelezea kilichotokea usiku wa jana Jumatano kwenye Uwanja wa Etihad wakati...
PRIME Prince Dube, Azam sasa kumekucha TFF Picha la Azam FC na Prince Dube limeanza upya na kuanzia kesho yatafichuka mengi pande hizo mbili zitakapokutana uso kwa uso kwa mara nyingine.