Pacome kuikosa JKT Tanzania leo, awasubiria Coastal Union Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kuwa kiungo wake Pacome Zouzoua badon hajawa tayari kutumika katika mechi dhidi ya JKT Tanzania leo kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam...
PRIME Aliyefariki ajali ya Kalaba azikwa, familia yamkana mume WANAFAMILIA na marafiki wa Charlene Mumba Kabaso, aliyefariki katika ajali iliyotokea Aprili 13, 2024 eneo la Kafue nchini Zambia wamejumuika kutoa heshima za mwisho na kumpumzisha kwenye makazi...
JIWE LA SIKU: Haina haja ya kupaniki, timu mbovu haichezi robo fainali CAF SIMBA juzi imepoteza mechi ya pili ya Ligi Kuu Bara dhidi ya mahasimu wao msimu huu kwa jumla ya mabao 7-2 ikimuachia mtani pointi zote sita. Kipigo cha juzi cha 2-1 kinafuatia kipigo cha 5-1...
Aziz Ki apigia saluti asisti ya Aucho iliyoiua Simba Staa wa Yanga, Stephane Aziz Ki, ambaye amekuwa maarufu kwa pasi zake za hatari za kuchana ukuta wa upinzani, amempigia saluti Khalid Aucho kwa pasi iliyoizamisha Simba katika ushindi wa 2-1 wa...
Dabi ya Mashemeji... K'Ogalo yaizamisha tena Ingwe BAO pekee la dakika 30 lililowekwa kimiani na Austine Odhiambo limeiwezesha Gor Mahia kuizamisha tena AFC Leopards katika pambano la Dabi ya Mashemeji lililopigwa jioni ya leo Jumapili, jijini...
Kombe la Muungano larejea baada ya miaka 20 Hatimaye Kombe la Muungano limerejea tena nchini ikiwa imepita miaka 20 tangu kusimama kwa mashindano hayo mafupi yanayozijumuisha timu za Zanzibar na Tanzania Bara. Taarifa iliyolewa na...
Mazembe, Mamelodi hali tete! SULUHU iliyoipata TP Mazembe ya DR Congo dhidi ya Al Ahly nyumbani na kipigo cha bao 1-0 ilichopewa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kutoka kwa Esperance ya Tunisia zimeziweka timu hizo mbili...
Gardner wa Clouds kuagwa kesho Dar, kuzikwa Jumanne Rombo Atazikwa kijijini kwao Kikelelwa, kata ya Tarakea, wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro.
Al Ahly yatanguliza mguu fainali ya CAFCL Sare isiyo ya mabao iliyopata watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly ya Misri ikiwa ugenini dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo, imeiweka pazuri timu hiyo ya Misri katika na nafsi ya kutinga...
Yanga yagomea chumba cha kubadilishia nguo Kwa Mkapa Muda mfupi baada ya Yanga kuwasili katika Uwanja wa Mkapa, wamelazimika kugomea kuingia kwenye chumba cha kubadilishia nguo. Maofisa wa Yanga waliotangulia kukagua chumba hicho walionekana...