Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8231 results for Mwandishi Wetu :

  1. Serikali kujenga viwanja vya mazoezi Dar, Arusha, Zanzibar

    SERIKALI imesema katika kuelekea michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon 2027) mbali na kujenga viwanja vitakavyotumika kwa ajili ya mechi, pia imeweka mikakati ya kujenga viwanja vitano vya...

  2. KMKM yaishusha rasmi daraja Maendeleo Zenji

    WATETEZI wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), KMKM wameishusha rasmi Maendeleo baada ya jana kuifumua mabao 7-0 katika mechi ya ligi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Mao A, mjini Unguja.

  3. PRIME Simba yafika bei kwa Mzamiru

    SIMBA imeshtuka hii ni baada ya kuamua kumuita kiungo mkabaji, Mzamiru Yassin haraka kwa ajili ya makubaliano ya mkataba mpya baada ya baadhi ya timu kuonyesha nia ya kumhitaji.

    New Content Item (1)
  4. Ifahamu asili ya hat trick

      mashirika ya soka ya kimaifa na wataalamu wa kandanda. Utata uliongezeka juu ya historia na asili ya neno hili hat-trick. Vyama vya michezo vingi hadi leo vipo katika mvutano wa kila mmoja kudai...

  5. Pochettino aondoka Chelsea, atajwa kutua United

    Kocha wa Sporting Lisbon, Rúben Amorim anatajwa kuchukua nafasi ya Pochetinho.

  6. Mabao ya jioni yaibeba JKU, yasogelea ubingwa wa ZPL

    JKU ubingwa inautaka. Vinara wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), JKU imezidi kujiweka pazuri katika kampeni za kubeba ubingwa wa ligi hiyo kwa msimu huu, baada ya jioni ya leo kupata ushindi wa mabao 2-0...

  7. Tanzanite! Viwanja vitatu kupewa fainali FA

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) liko mbioni kubatilisha uamuzi wa fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB kuchezwa katika Uwanja wa Tanzanite, Babati mapema mwezi ujao huku viwanja...

  8. Ligi Kuu Zenji sasa ni mwendo wa hat trick tu!

    LIGI Kuu ya Zanzibar (ZPL) inazidi kuyoyoma, huku ikishuhudiwa idadi ya hat trick zikiongezeka baada ya jana Jumapili kupigwa nyingine mbili na kufanya idadi sasa ifikie sita wakati timu za...

  9. Zamalek yaiduwaza RS Berkane, ikibeba Kombe la Shirikisho Afrika

    BAO pekee lililofungwa dakika 23 na Ahmed Hamdi katika pambano la pili la fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, iliyopigwa usiku wa jana jijini Cairo, Misri iliiwezesha wenyeji, Zamalek kubeba...

  10. K'Ogalo yabeba tena, Ingwe yapigwa nyumbani

    HESABU zimekubali. Ndio, Gor Mahia imetwaa tena ubingwa wa Ligi Kuu ya Kenya (KPL) baada ya alasiri ya leo Jumapili kuinyuka Muhoroni Youth kwa mabao 3-0 na kufikisha pointi 67 zisizoweza...

Previous

Page 635 of 824

Next