Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8229 results for Mwandishi Wetu :

  1. Vita ya Aziz KI, Fei Toto yahamia Ligi ya wanawake

    ACHANA na ubingwa Ligio Kuu ya Wanawake (WPL) uliobebwa na Simba Queens, unaambiwa ligi hiyo haijaisha kwenye vita ya kimya kimya ya kuwania kiatu cha Mfungaji Bora wa msimu huu.

  2. PRIME Yanga kwanza, Simba yamgeukia Dube

    SIMBA imemuwekea Prince Dube Sh.120Mil mezani ili amwage wino wakamalizane na Azam, akawachomolea waziwazi.

  3. Wazir Junior aizamisha Chipolopolo kwao

    BAO la Straika wa Taifa Stars, Wazir Junior mapema tu dakika ya 5, limetosha kuizamisha Zambia nyumbani kwao katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 uliochezwa leo Jumanne Juni 11, 2024.

  4. PRIME Mo Dewji agoma kutoa pesa za usajili Simba, atoa masharti haya

    TAJIRI amemwaga mboga. Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji amesitisha kutoa fedha za usajili na huduma nyingine kwa timu hadi pale wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa klabu hiyo...

  5. Timu 16 kukiwasha Kagame Cup 2024, mashindano kuanza rasmi Julai 6

    Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), limetangaza kwamba mashindano ya CECAFA Kagame Cup mwaka 2024 yatafanyika Tanzania Bara na Zanzibar kuanzia Julai 6 hadi...

  6. Aziz KI avunja ukimya ishu yake Yanga, aanika usajili wa Dube

    KIUNGO wa Yanga, Stephane Aziz KI, amevunja ukimya juu ya yeye kuendelea kusalia ndani ya kikosi hicho, huku akifichua jambo kubwa kumuhusu straika Mzimbabwe, Prince Dube aliyekuwa akiitumikia Azam.

  7. Hat trick ya 7 yapigwa Zenji, Uhamiaji ikiizamisha Kipanga

    LIGI Kuu ya Zanzibar (ZPL) iliyopo ukingoni imeendelea tena jioni ya leo, ikishuhudiwa hat trick ya saba ikifungwa visiwani humo, wakati Uhamiaji ikiizamisha Kipanga kwa mabao 3-2 katika mechi...

  8. PRIME Gamondi aibua shangwe lingine Yanga

    KILICHOFANYWA na Yanga jana katika Mkutano Mkuu wa klabu hiyo ni kama imewatangazia wapinzani kuwa, ile tabu waliyokutana nayo msimu wa 2023-2024 wasidhani imesha badala yaje wajue mapema bado...

  9. KMKM yapigwa tena, yatema ubingwa ZPL

    MAAFANDE wa KMKM, imepoteza mchezo wa pili mfululizo katika mechi za lala za Ligi Kuu Zanziba (ZPL) na kuutema rasmi ubingwa baada ya jioni ya leo kufungwa mabao 2-1 na KVZ.

  10. Mo Dewji aibua kitendawili kipya

    LICHA ya sintofahamu kinachoendelea Simba SC, Rais wa Heshima na Mwekezaji mwenza wa klabu hiyo, Mohamed 'Mo' Dewji ameibuka na kitendawili ambacho kinawaweka njia panda mashabiki na wanachama wa...

Previous

Page 631 of 823

Next