Zuchu: Mwaka mmoja tu kaweka rekodi na kibao na kazivunja mwenyewe Msanii wa Bongofleva, Zuchu ametimiza mwaka mmoja tangu atambulishwe rasmi kujiunga na lebo ya WCB. Usiku wa Aprili 8, 2020 lebo hiyo ilitangaza kumsaini mwimbaji huyo ambaye ni mtoto wa Malkia...
Mtibwa yalia kuhujumiwa WAKATI pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara likihitimishwa leo kwa timu zote kushuka uwanjani, Mtibwa Sugar itakayokuwa ugenini jijini Dar es Salaam imelia kuhujumiwa kabla ya mchezo wao dhidi ya JKT...
NBC yatambulisha kombe jipya Ligi Kuu Dar es Salaam. Wakati Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2022/23 ikifikia mwisho Ijumaa ya Juni 9, 2023, Mdhamini Mkuu wa ligi hiyo, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kombe jipya la ligi kuu...
Aussems amshangaa refa aliyemtupa jukwaani KOCHA wa AFC Leopards, Patrick Aussems, hakuwa na maneno mazuri kuhusu mwamuzi aliyechezesha mchezo wa Ligi Kuu Kenya dhidi ya Posta Rangers Jumapili Uwanja wa Thika, kaunti ya Kiambu. Katika...
Maajabu Yanga, kanuni na Kamati ya Saa 72 BILA shaka umeshawahi kusikia Yanga Kampuni na Yanga Asili. Lakini utakuwa umewahi kusikia kuhusu Yanga Katiba na Yanga Ukuta. Hayo ni makundi yaliyowahi kuibuka ndani ya Yanga katika nyakati...
Wachezaji Mtibwa Sugar waula MABINGWA watetezi wa soka la vijana Mtibwa Sugar U-20 wamerejea mjini Morogoro na kupewa mapokezi ya kifahari baada ya vijana hao kuibuka kuwa mabingwa wa taji hilo dhidi ya Yanga. Mtibwa Sugar...
Watumishi hewa msimu 2022/ 23 Yanga, Simba KLABU inaposajili mchezaji inakuwa na malengo ya kufaidika na huduma yake, bahati mbaya wengi wao wanashindwa kutimiza kusudi wakikabiliwa na changamoto kama majeraha na kukosa ushindani dhidi ya...
MOALLIN: Tunajenga timu mpya, furaha IKIWA katika wiki ya pili ya kambi ya wiki tatu mjini El Gouna, Misri, Azam FC wako ‘bize’ kuziba kila mwanya unaoweza kuwaharibia mipango yao msimu ujao.
Waarabu kumng'oa Robertinho Simba SIMBA imerejea juzi ikitoka Morocco ilipotolewa kiume kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini kama kuna kitu kimezusha gumzo kwa wekundu hao ni ubora wao uwanjani na sasa kama kuna mtu anayesakwa...
Simba walizua Al Ahly, waarabu waanza kuzozana KASI ya Simba kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika bado ni tatizo kwa Al Ahly ya Misri chini ya Kocha Msauzi, Pitso Motsimane. Kitendo cha Bingwa huyo mtetezi wa Afrika kushindwa...