Masharti mazito Simba… ulevi, fujo, jezi za Yanga marufuku SIMBA ilipaa jana jioni kwenda Misri kujiandaa na msimu mpya wa 2024-2025 lakini siku moja kabla ya safari hiyo, wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi wakabebeshwa zigo na tajiri wa klabu...
Uhamiaji yapewa nafasi ya Chipukizi CAF KLABU ya Uhamiaji imepata nafasi ya kuiwakilisha Zanzibar katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao 2024-2025.
19 zachuana kuwania ubingwa Gymkhana mashindano hayo benki ya CRDB, kupitia kwa mkuu wa kitengo cha kadi, Farid Seif amesema licha ya kuboresha afya itasaidia katika kukuza uhusiano maana michezo ni ushirikiano. “Tunafahamu michezo...
Awesu, Simba ni suala la muda tu Simba inadaiwa kuwa mbioni kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Awesu Awesu kutoka KMC kwa mkataba wa miaka miwili.
Anguti Luis atua Coastal Union, kukiwasha Kagame Cup Beki Anguti Luis atakuwa sehemu ya kikosi cha Coastal Union msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika.
Ishu ya Beno tatizo ni msimamo ALIYEKUWA kipa wa Singida BS, Beno Kakolanya amemaliza utata, akisema misimamo yake imekuwa ikimponza kwa watu wakimchukulia kama mtovu wa nidhamu.
Dodoma Jiji yafikia pazuri kwa Buswita, KMC yatua Uganda DODOMA Jiji imeanza mazungumzo ya kupata saini ya kiungo wa Namungo, Pius Buswita baada ya kuridhishwa na uwezo wake. Nyota huyo wa zamani wa Mbao, Yanga, Ruvu JKT na Polisi, msimu uliopita...
Kaseba, Mandonga kuzipiga Mikoani BINGWA wa zamani wa Kick Boxing wa Dunia, aliwahi pia kutamba kwenye Ngumi za Kulipwa nchini, Japhet Kaseba sambamba na Karim Mandonga ni miongoni mwa mabondi watakaozipiga katika mapambano...
PRIME Ibenge: Huyu Chama ni mtu sahihi KOCHA maarufu kwenye Ukanda wa Afrika Mashariki, Kati na Kaskazini anayeikochi Al Hilal ya Sudan, Florent Ibenge amefafanua jambo kuhusiana na staa mpya wa Yanga, Clatous Chama.
MO Dewji amlilia Manji Dewji alisema kuwa kifo cha Manji ni pigo kubwa kwake, ndugu, jamaa na marafiki.