KMKM yazindukia Mwembe Makumbi MABINGWA wa zamani wa Zanzibar, KMKM juzi jioni walizinduka katika mfululizo wa mechi za Ligi Kuu visiwani humo (ZPL) baada ya kuifumua Mwembe Makumbi City kwa mabao 2-1 baada ya awali kuanza...
PRIME Safari ya Kombe la Shirikisho Afrika... Mnyama yupo tayari KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua jijini Tripoli, Libya tayari kwa mechi ya mkondo wa kwanza ya raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku mastaa wote waliokuwa timu za taifa wakiwa...
Ngushi aibeba Mashujaa, Coastal Union hoi Bao la mshambuliaji Crispin Ngushi, limetosha kuipa ushindi wa pili Mashujaa, ikiendeleza makali yake kwenye Ligi Kuu Bara ikiwalaza Coastal Union ya Tanga.
MAMA CHEKA: Mwanangu kaokota makopo kajenga shule Msumbiji MIAKA sita imepita sasa tangu bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka 'SMG' alipoachana na mchezo huo mwaka 2018 baada ya kutamba kwa miaka 18, kabla ya kutimkia zake Msumbuji ambako ni...
Mkataba mpya kumpa ukwasi Haaland Manchester City inajiandaa kumpa mkataba mpya mshambuliaji wake Erling Haaland utakaomfanya awe mchezaji anayelipwa kiasi kikubwa zaidi cha fedha katika Ligi Kuu ya England (EPL).
PRIME Simba yaweka mikakati CAF, Mo ahusishwa mchongo wote SIMBA inatarajiwa kuvaana na Al Ahli Tripoli ya Libya katika mechi za raundi ya pili za michuano hiyo ikianzia ugenini wikiendi ijayo kabla ya kurudiana nao baada jijini Dar es Salaam na mshindi...
PRIME Kamera, ubao zabeba makipa Simba MASHABIKI wa Simba ghafla wamejikuta wakichanganyikiwa kwa mzuka wa furaha baada ya kuona kiwango cha timu hiyo katika mechi kadhaa iliizocheza hadi sasa zikiwamo mbili za Ligi Kuu...
Kilichomponza Dabo na wengine 16 Azam FC Yousouph Dabo amekuwa mhanga mwingine wa machinjio katili zaidi ya makocha hapa nchini, Azam FC. Katika misimu yake 16 kwenye ligi kuu, Azam FC ‘imechinja’ makocha 17, huku wengine wakienda na...
PRIME Che Malone, Hamza kuna kitu WANASEMA nyota njema huonekana asubuhi. Hiyo imejitokeza mapema sana ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Msauzi, Fadlu Davids. Unajua imekuwaje? Soma hapa.
PRIME Gamondi afichua alivyomzuia Mzize KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi ameweka wazi kwamba alihusika katika ushawishi wa kumbakisha mshambuliaji Clement Mzize asiondoke klabuni hapo huku akitaja sababu mbili za uamuzi wake huo juu ya...