Tumerudi tena, karibu sana, tulikumiss pia Tunashukuru kwa uvumilivu wako wakati tulipokuwa nje ya mtandao. Sasa tuna furaha kubwa kutangaza #TumerudiMtandaoni! Kaa tayari kupata habari na taarifa za kuaminika. Tembelea kurasa zetu za...
TAARIFA KWA UMMA Tunasikitika kuwaarifu wasomaji wetu wapendwa kuwa tunalazimika kusitisha uchapishaji wa maudhui mtandaoni kuanzia sasa kufuatia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kusitisha leseni zetu...
Pamba Jiji yaingia na mambo mawili kwa Yanga KOCHA Msaidizi wa Pamba Jiji, Henry Mkanwa, ameyataja mambo mawili ambayo wataingia nayo kesho Alhamisi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga.
Gamondi aisoma Pamba Jiji KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema kutokana na utafiti alioufanya amebaini kwamba wapinzani wanaocheza nao kesho katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, Pamba Jiji ni timu ambayo inajilinda...
Mwanamke ajinyonga baada ya kuliwa Sh1.2 milioni kwenye ‘betting’, aviator yatajwa Mwanamke ambaye ni mkazi wa Jimbo la Kakamega nchini Kenya amejinyonga hadi kufa muda mfupi baada ya kupoteza fedha kiasi cha Sh1.26 milioni (Ksh60,000) kwenye mchezo wa kamari maarufu kama...
PRIME Huu ndiyo ukweli wa jina Debora KWA sasa katika Ligi Kuu Bara, moja ya majina yanayoimbwa sana ni Debora Fernandes Mavambo, huku jina hilo likiacha maswali kwa mashabiki wa soka.
PRIME Aucho, Yanga kuna jambo PRESHA imeanza kupanda kuelekea dabi ya Kariakoo itakayopigwa Oktoba 19. Kambini Yanga, Kocha Miguel Gamondi kuna jambo linamfanya akune kichwa, lakini hana namna.
Sababu za Dembele kuikosa Arsenal leo Staa wa PSG Ousmane Dembele, ataukosa mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Arsenal baada ya kukorofishana na kocha wa timu hiyo Luis Enrique.
Coastal Union yaanza upyaa Bara KAIMU Kocha Mkuu wa Coastal Union, Joseph Lazaro, amesema hivi sasa wameanza kuuona mwanzo mpya wa timu yao ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya hapo awali kuwa na matokeo mabaya mfululizo.
PUMZI YA MOTO: Tuzo za soka Tanzania zimejaa ukakasi mtupu MOUSSA Camara, kipa wa Simba, alichaguliwa kuwa nyota wa mchezo wa Dabi ya Mzizima kati ya Azam FC na Simba.