Liverpool itachangamka! Arne Slot kufunga busta LIVERPOOL imepanga kufungulia pochi dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi ili kumpatia Kocha Arne Slot kikosi kitakachokuwa na uwezo wa kutetea taji la Ligi Kuu England watakalolibeba...
Serengeti Boys yatua Morocco, hesabu Kombe la Dunia Katika Afcon U17, Serengeti Boys imepangwa katika kundi A na wenyeji Morocco, Zambia na Uganda.
Nusu fainali ya vigogo Ulaya, Ronaldo, Lamine na Mbappe UEFA Nations League baada ya kushinda michezo yao ya hatua ya robo fainali juzi.
MWENDO WA MABAO! Arteta akinasa bunduki hizi Arsenal inajipata kwenye ligi MAJERUHI yameilazimisha Arsenal kumchezesha kiungo Mikel Merino eneo la mshambuliaji wa kati, jambo lililomfanya Kocha Mikel Arteta kubebeshwa lawama za kushindwa kusajili straika dirisha la...
Ramires alivyoshtua watu kwa mwonekano wake KUNA huu msemo, eti unaanza kuzeeka kwanza kabla ya kuwa kijana.
Ishu ya Rashford kaishika Amorim LISEMWALO ni Marcus Rashford hatakuwa na maisha yoyote kwenye kikosi cha Manchester United endapo kama Kocha Ruben Amorim ataendelea kubaki kwenye kikosi hicho cha Old Trafford.
Boss Chelsea afunguka timu hiyo kuhama Stamford Bridge BILIONEA mmiliki wa klabu ya Chelsea, Todd Boehly amethibitisha klabu hiyo itaondoka Stamford Bridge na kuhamia kwenye uwanja mpya.
PRIME Sowah, Sillah kuwachomoa wawili Yanga KUNA hesabu Kali ambazo Yanga inazipiga kibabe ndani ya kikosi chao cha msimu ujao wakitaka kuingiza silaha za maana ndani ya mziki wao lakini kuna wawili lazima waachie nafasi fasta ili dili...
Isak aitamani Barca, akiisikilizia Liverpool MSHAMBULIAJI wa Newcastle United na timu ya taifa ya Sweden, Alexander Isak, yuko tayari kujiunga na Barcelona katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi lakini kipaumbele chake cha kwanza ni...
De Bruyne mawazo yote Marekani KIUNGO Kevin De Bruyne ameweka wazi mipango yake ya kuachana na Manchester City huku uliopo mezani ni kwenda kujiunga na klabu ya San Diego ya Ligi Kuu Marekani, imeelezwa.