Atletico yajitosa kwa Antony, Juventus, Villarreal zatajwa ATLETICO Madrid imepanga kufanya mazungumzo na wawakilishi wa winga wa Manchester United, Antony, 25, ili kumsajil katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
JKT Tanzania yaiweka pabaya Fountain Gate JKT Tanzania imezidi kuiweka pabaya Fountain Gate katika msimamo wa Ligi Kuu Bara huku zikisalia mechi mbili kumaliza msimu huu.
Kumbe Rodrygo alikataa kucheza El Clasico STAA wa Real Madrid, Rodrgyo imeripotiwa kugomea kucheza mechi ya El Clasico baada ya kutibuana na wachezaji wenzake kikosini.
‘Undercard’ ya PacMan imeshiba JE unajua kwamba bondia mkali wa ngumi za uzito wa juu duniani kuanzia mwaka 1995-2021 anarudi? Unamjua Manny Pacquiao?
Ancelotti akabidhiwa mikoba Brazil HATIMAYE, Carlo Ancelotti amethibitishwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya soka ya Brazil.
Kinatoka chuma kinaingia chuma… Xabi Alonso Los Blancos KINATOKA chuma, kinaingia chuma. Ndicho unachoweza kusema baada ya kuripotiwa kocha Xabi Alonso amesaini mkataba wa kuinoa Real Madrid hadi 2028.
Makocha hawa mashabiki wanatamani kuwaona Kombe la Dunia FAINALI za Kombe la Dunia 2026 zimebakiza mwaka mmoja tu kuanza, huku mashabiki wengi wakitamani kuona baadhi ya makocha wa kwenye timu za klabu wapewe dili za timu za taifa ili wakaonyeshane...
Wanasoka maarufu waliozomewa na mashabiki wao uwanjani BEKI wa kulia, Mwingereza Trent Alexander-Arnold ameingia kwenye orodha ya wanasoka waliowahi kuzomewa na mashabiki wao wenyewe wakati alipoingia kutokea benchini kwenye mechi ya Ligi Kuu...
Kocha amorim kung’atuka atoa sababu nzito Man United KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amefichua kwamba atamwaga manyanga ya kuinoa timu hiyo kama atashindwa kubadilisha kiwango cha timu hiyo ndani ya uwanja.
PRIME Yanga yarusha kete kwa kocha Ahly YANGA inajiandaa kushuka uwanjani leo jioni kuvaana na Namungo ya Lindi, ikiwa ni mwendelezo wa mechi za Ligi Kuu Bara iliyoingia raundi ya 27, lakini ndani ya ofisi za mabosi wa klabu hiyo kuna...