Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8955 results for Mwandishi :

  1. Arsenal majanga, Havertz nje msimu mzima

    STAA wa Arsenal, Kai Havertz atakosekana uwanjani kwa kipindi chote cha msimu kilichobaki baada ya kupata tatizo la maumivu ya misuli wakati akiwa mazoezi kwenye kambi ya timu hiyo, huko Dubai.

  2. Kenya yakusanya Dola 316K mauzo ya wachezaji, Tanzania ikichangia Dola 9276

    Ripoti ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) imeiorodhesha Kenya miongoni mwa nchi zilizovuna pesa kutokana na mauzo ya wachezaji wa kiume nje ya nchi, ikikusanya Dola 316,000 (Ksh 40.8 milioni)...

  3. Wakifunga hawa, timu haipotezi

    KWA kawaida, mchezaji kufunga mabao kunasaidia timu yake kushinda mechi.

    Kufunga Pict
  4. Wazir Junior aizamisha Chipolopolo kwao

    BAO la Straika wa Taifa Stars, Wazir Junior mapema tu dakika ya 5, limetosha kuizamisha Zambia nyumbani kwao katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 uliochezwa leo Jumanne Juni 11, 2024.

  5. PRIME Yanga yashtuka usajili mpya, yajitafakari

    YANGA wameamua kurudi nyuma kwanza kuangalia kuna ulazima gani wa kusajili kiungo mkabaji mzawa ikiwa kuna uwezekano wa kuendelea kubaki na Jonas Mkude na Zawadi Mauya ambao watashirikiana vema...

  6. Suluhu yaziachia maswali Ihefu, JKT Tanzania

    MSIMU huu wa 2023/24, hakuna mbabe kati ya Ihefu SC na JKT Tanzania baada ya timu hizo kushindwa kufungana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo jioni kwenye Uwanja wa Liti mkoani Singida...

  7. Timu za Ligi Kuu Bara kutumia viwanja vya Zanzibar

    Mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB), Almas Kasongo amesema kuanzia msimu ujao wa Ligi 2024/25 ni ruksa kwa timu ya Ligi Kuu Bara kutumia viwanja vya Zanzibar.

  8. PRIME Mpanzu kayapotezea mamilioni haya Bongo

    WINGA Mkongomani Ellie Mpanzu tayari yuko Ubelgiji, anakotaka kujiunga na klabu ya KRC Genk, lakini hapa Tanzania kaziacha klabu mbili kwenye mataa zikibaki na fedha zao.

  9. Zimamoto yabadili upepo ubingwa ZPL

    UPEPO umebadilika baada ya Zimamoto kupata ushindi wa tatu mfululizo ndani ya Juni katika Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL) na kuipumulia JKU inayoongoza msimamo wa ligi hiyo kwa muda mrefu...

  10. JKU, Chipukizi na leo tena Zenji

    PAZIA la msimu mpya wa mashindano kwa visiwani Zanzibar, linafunguliwa jioni ya leo kwa timu za JKU na Chipukizi kukutana katika mechi ya Ngao ya Jamii itakayopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan...

Previous

Page 473 of 896

Next