Ian Wright avunja ukimya Msomalia kuondolewa Kombe la Dunia
MAONI makali ya nguli wa soka wa England, Ian Wright, kuhusu sintofahamu zinazoendelea kuelekea Kombe la Dunia 2026 yamezua mjadala mkubwa baada ya kulalamikia kile alichokiita mazingira yasiyo...