Liverpool, Isak ngoma tamu, Newcastle Utd yatia ngumu STRAIKA wa Newcastle United, Alexander Isak, 25, amefikia makubaliano ya maslahi binafsi na majogoo wa Liverpool ambapo atasaini mkataba wa miaka mitano na kupokea mshahara unaotajwa kufikia...
Saliba awapa mzuka Arsenal BEKI wa boli, William Saliba amewapa mashabiki wa Arsenal matumaini makubwa baada ya kufunguka yupo kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya kwenye timu hiyo ili aendelezea mapambano ya kusaka...
PRIME Kocha Yanga aleta balaa jipya! WAKATI Yanga ikiendelea na mchakato wa kujiimarisha kwa ajili ya msimu ujao wa 2025-2026,kuna mafundi sita wameshushwa kuunda benchi jipya la ufundi litakaloongozwa na Mfaransa, Romain...
PRIME Simba yafanya umafia Kenya SIMBA wameonyesha ukubwa wao kwa mara nyingine. Kuna jambo ambalo wamefanya kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars ambalo limemtibua Kocha Benni McCarthy. Ni jinsi...
Vigogo Manchester United wamfungia kazi Sesko MANCHESTER United imeingia katika mchakato wa kuiwania saini ya mshambuliaji wa RB Leipzig na timu ya taifa ya Slovenia, Benjamin Sesko mwenye umri wa miaka 22.
Duh! Mtoto wa Totti astaafu soka MTOTO wa gwiji wa Italia na AS Roma, Francesco Totti amestaafu soka la kulipwa akiwa na umri wa miaka 19.
Alisson aondoka kambini Liverpool KIPA wa Liverpool, Alisson Becker ameripotiwa kuondoka kwenye kambi ya timu hiyo katika ziara yao ya pre-season huko Asia kutokana na kuwa na matatizo binafsi.
Pep Guardiola kukaa pembeni Etihad KOCHA Pep Guardiola amekiri atang’atuka kwenye kazi yake ya ukocha wakati mkataba wake Manchester City utakapofika tamati.
Simba yazoa Sh20 bilioni, ikitambulisha mdhamini mpya Kampuni hiyo ndio itakuwa mdhamini mkuu wa klabu hiyo kufuatia kuvunjwa kwa mkataba baina ya Simba na mdhamini mkuu aliyepita.
Mastaa Newcastle wana kitu cha Isak MASTAA wa Newcastle United, Bruno Guimaraes na Dan Burn wamefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu ishu ya Alexander Isak kutaka kuachana na miamba hiyo ya St James’ Park.