Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8552 results for Mwandishi Wetu :

  1. Dah, Mr Manchester United ameumaliza mwendo

    SHABIKI wa damu kabisa wa mchezo wa soka aliyebadili jina lake na kuitwa Mr Manchester United na kuchora tattoo ya nembo ya klabu hiyo kwenye paji lake la uso amefariki dunia akiwa na umri wa...

    SHABIKI Pict (1)
  2. Shabiki Black Stars amtumia salamu Donald Trump

    Shabiki mmoja wa soka kutoka Ghana, anayejulikana kwa jina la Obour, amezua hisia mitandaoni kufuatia hotuba yake ya kujiamini iliyopeleka ujumbe wa moja kwa moja kwa Rais wa Marekani, Donald...

    SHABIKI Pict
  3. Tuchel amchana Rashford, mwenyewe afichua kilichomuangamiza

    Kocha wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel amemuonya Marcus Rashford kwa kumwambia ni lazima aonyeshe uwezo wake au akubali hatari ya kumaliza uwezo wake kisoka katika kipindi hiki ambacho...

    RASHFORD Pict
  4. Martin Ødegaard bado anaumwa, kurudi dimbani Novemba

    Nahodha wa Arsenal, Martin Ødegaard, ataendelea kuwa nje ya uwanja hadi mwezi Novemba kutokana na jeraha la goti.

    ODEGARD Pict
  5. Harambee Stars yafukuzia bao la 100 ikiikabili Ivory Coast leo

    LEO Oktoba 14, 2025, itakuwa siku ya kukumbukwa zaidi na mataifa mawili ya Ivory Coast na Kenya, hiyo ni baada ya kumalizika kwa dakika tisini za mechi ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia la FIFA 2026.

    STARS Pict
  6. Watano Harambee Stars watajwa Tuzo za Mashujaa Day

    Kuelekea Siku ya Mashujaa Oktoba 20, 2025, Baraza la Kitaifa la Mashujaa limependekeza wachezaji watano wa Harambee Stars walioshiriki michuano ya Mataifa ya Afrika (Chan) 2024 kutunukiwa kama...

    Harambee Pict
  7. Gundu linalowakabili wachezaji ghali England

    PESA kubwa inapotumika, matarajio yake ni makubwa pia.

    GUNDU Pict
  8. Cape Verde yafuzu Kombe la Dunia, Arajiga akisimama kati

    Cape Verde limekuwa taifa la sita Afrika kukata tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya leo, Oktoba 13, 2025 kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 nyumbani dhidi ya Eswatini.

  9. Roman Folz aletewa msaidizi, aanza kazi

    Klabu ya Yanga, imemtangaza Patrick Mabedi raia wa Malawi kuwa kocha msaidizi wa kikosi hicho kinachoongozwa na Mjerumani, Romain Folz.

  10. Mazraoui kuwavaa Liverpool, Martinez mwezi ujao

    TATIZO la majeruhi kwenye kikosi cha Manchester United bado linamsumbua kocha Ruben Amorim huku likimtishia kwenye upangaji wa timu yake kwenye mechi.

    MAZROUI Pict
Previous

Page 353 of 856

Next