Dani Carvajal kukaa nje mwezi mzima REAL Madrid imejikuta katika mgogoro mkubwa wa safu ya ulinzi baada ya beki wao Dani Carvajal kupata jeraha la mguu katika mechi ya dabi dhidi ya Atletico Madrid. kwa wakati huo. Hali kama hii...
Saka: Arsenal kila siku inaonewa STAA wa Arsenal, Bukayo Saka ametoa maneno makali dhidi ya VAR baada ya Arsenal kunyimwa penalti kipindi cha kwanza, licha ya faulo ambayo straika wao, Viktor Gyokeres alifanyiwa na kipa wa...
Sh65 milioni Goli la Mama zazaa mabao 14 timu zikivuka RAUNDI ya kwanza ya mechi za mchujo wa mashindano ya klabu barani Afrika imekamilika kwa timu zote nne za Tanzania Bara kufuzu raundi ya pili ya mashindano hayo ikiwa ni rekodi.
Man United hapatoshi… Watatu watajwa TAARIFA kutoka Manchester United zinadai Oliver Glasner, Fabian Hurzeler na Andoni Iraola ni miongoni mwa makocha wanaofikiriwa na mabosi wa timu hiyo kupewa mikoba ya Ruben Amorim ambaye huenda...
Kisa matokeo, mashabiki Chelsea wachachamaa! MATOKEO mabovu katika mechi mbili mfululizo yamemtibulia Kocha wa Chelsea, Enzo Maresca kwa mashabiki wengi wakitaka aondoke, lakini mabosi wa mabingwa hao wa Dunia wamesema bado wanamwamini na...
Staa Man United aamriwa kutumikia kifungo jela Mchezaji wa zamani wa Manchester United, Anderson Luís de Abreu Oliveira maarufu kama Anderson ameamriwa kutumikia kifungo cha siku 30 jela iwapo hatatoa kiasi cha Pauni 142,000 kwa ajili ya...
Mourinho Miaka 25, pesa kibao WIKI kadhaa zilizopita, kocha Jose Mourinho alijiunga na Benfica ikiwa ni siku kadhaa baada ya kutupiwa virago vyake na mabosi wa Fenerbahce ya Uturuki.
Saliba aifungia vioo Real Madrid BEKI kisiki wa Arsenal, William Saliba ameifungia vioo Real Madrid na kuamua kufikia makubaliano ya kusaini mkataba mpya na washika mitutu.
Kocha AS Monaco ataja sababu Paul Pogba kutocheza KOCHA wa AS Monaco, Adi Hutter ameweka wazi sababu ya kiungo wao Paul Pogba kutokuwapo uwanjani licha ya kuwa huru kutoka kwenye adhabu ya matumizi ya dawa zinazozuiwa michezoni iliyoisha miezi...
Polisi Kenya yapasuka, ila yasonga mbele MABAO mawili ya Mogadishu City ya Somalia yameweza kuizima Polisi Kenya ikiwa ardhi ya nyumbani, lakini haikuweza kuisaidia kuing'oa katika mechi ya marudiano ya raundi ya jkwanza ya Ligi ya...