Video UCHAMBUZI: Simba wawe makini wasishangilie matokeo ya Yanga wana mchezo mgumu dhidi ya Mashujaa Alhamisi, Mei 14, 2026
Rekodi nane zinazosubiriwa WAFCON 2026 FAINALI za Mataifa ya Afrika kwa wanawake mwaka 2026, zimekuja tofauti kabisa kuanzia kwenye ongozeko la timu hadi pesa za washindi.
Twiga Stars inapenya hivi WAFCON 2026 KAMA kuna timu ambayo imepewa kundi gumu kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, basi ni Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars.