Manqoba Mngqithi atuma ujumbe mzito Yanga ikichapwa na Wakongo
KOCHA Mkuu wa Yanga, Manqoba Mngqithi, amesema licha ya kupoteza kwa mabao 2-1 dhidi ya Les Aigles Du Congo katika tamasha la Yanga Day, lakini anaamini kikosi chake kina uwezo wa kufanya vizuri...