Video Dah! Yanga yapata pigo, Kombe la Ngao ya Jamii laibiwa, Injinia Hersi afunguka kilichotokea Jumatatu, Agosti 03, 2026
England, Wales zamgeuka Infantino mbio za urais FIFA Chama cha Soka cha England (FA) kimeungana na Shirikisho la Soka la Wales kupinga azma ya Gianni Infantino ya kugombea tena urais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).
Yanga Princess inakwama hapa KAMA kuna eneo ambalo mashabiki wa Yanga SC wamekuwa wakisubiri kuona mabadiliko makubwa, basi ni upande wa timu yao ya wanawake, Yanga Princess.