Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Yanga watamba CAF ni moto, kambi Morocco

Uongozi wa Yanga tayari umewapa mapumziko ya wiki mbili wachezaji wake kisha watakusanyika kwenda kambini Morocco mwanzoni mwa wiki ya pili mwezi ujao kujiandaa na msimu ujao.

Mshauri wa uongozi wa Yanga, Senzo Mazingiza akizungumza baada ya kurudi jijini Dar es Salaam wakitokea Kigoma alisema wachezaji wamepewa mapumziko wakaonane na familia.

“Wachezaji wanaenda kupumzika wakirudi tuwe na kazi ya kujiandaa na msimu ujao.”

Pia Senzo amesema wamejidhatiti na Yanga ijayo itakuwa imara zaidi na yenye uwezo wa kupambana Ligi ya Mabingwa Afrika inayoanza Septemba 11.

Mwanaspoti linafahamu sehemu kubwa ya kikosi Yanga kitaenda Morocco, lakini wachezaji wengine watabaki Dar kwa ajili ya Kombe la Kagame linaloanza Agosti, mwaka huu.