Simba ya moto, Rushine aipa jeuri SIMBA imeendelea kuwa ya moto baada ya kushinda mchezo wake wake wa tisa mfululizo msimu huu ikizidi kujikita juu ya msimamo wa Ligi Kuu Bara, ikiwa timu pekee ambayo haijapoteza mchezo wowote...