Taifa Stars ndo hivyo tena TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, itaendelea kusubiri kuona ushindi wake wa kwanza baada kulazimishwa sare isiyo na mabao nyumbani dhidi ya Nigeria, ikitengeneza ugumu wa nani atakwenda...
Msimu huu EPL ni wa mabao kipindi cha pili? MSIMU huu kumekuwa na rekodi ya uwiano mkubwa wa mabao yanayofungwa katika kipindi cha pili cha mechi za Ligi Kuu England (EPL). Hata hivyo, baadhi ya timu zimeenda kinyume na mwenendo huo.