Msimu huu EPL ni wa mabao kipindi cha pili? MSIMU huu kumekuwa na rekodi ya uwiano mkubwa wa mabao yanayofungwa katika kipindi cha pili cha mechi za Ligi Kuu England (EPL). Hata hivyo, baadhi ya timu zimeenda kinyume na mwenendo huo.
Sowah katika mtego wa rekodi Singida Black Stars BAADA ya mshambuliaji wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah kufikia mabao matatu katika ligi aliyomaliza nayo msimu wa 2025-2026 akiwa na Simba, ana mtihani wa kuvunja rekodi yake mwenyewe...