Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Uhamiaji FC yafyeka bechi lote la ufundi

UHAMIAJI Pict

Muktasari:

  • Kocha Sheha na wasaidizi wake waliisaidia Uhamiaji FC kushinda Michezo Mitano ya mwanzo mfululizo na kujikusanyia alama 15  ambazo zinawafanya mpaka sasa kuendelea kusalia nafasi ya 4 baada ya Michezo 9.

Klabu ya Uhamiaji FC inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar imesitisha mkataba na Benchi Zima la ufundi ufundi lilokua likiongozwa na Kocha Sheha Khamis akiwa na wasaidizi wake Hassan Makame Ameir (Kocha Msaidizi), na Twahir Ahmada Mzee ( Kocha wa Makipa).

Hii imekuja kufuatia matokeo mabaya ambayo wameyapata Uhamiaji FC kw akufungwa mechi Nne mfululizo kwenye Ligi Kuu Zanzibar.

UHA 02

Kocha Sheha na wasaidizi wake waliisaidia Uhamiaji FC kushinda Michezo Mitano ya mwanzo mfululizo na kujikusanyia alama 15  ambazo zinawafanya mpaka sasa kuendelea kusalia nafasi ya 4 baada ya Michezo 9.

Hivyo uongozi unapambana kutafuta Kocha mpya ambae atakwenda kuchukua mikoba ya Kocha aliendoka.