Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Simba yapewa ramani kuwaua Waarabu

Muktasari:

  • Wakizungumza na Mwanaspoti kwa nyakati tofauti nyota wa zamani wa kikosi hicho wameitaka timu hiyo kucheza kwa tahadhari kubwa. Mtemi Ramadhan alisema licha ya matokeo mabovu ya Wydad katika michezo yao miwili ya hatua ya makundi iliyopita ila haitokuwa mechi nyepesi kwa Simba hivyo wanahitaji kuongeza umakini wa hali ya juu zaidi.