Marefa wetu FIFA muongeze umakini KUNA kama muda wa miezi nane umebaki kabla ya kufanyika kwa fainali za AFCON 2027 ambazo Tanzania tutaziandaa kwa pamoja na Kenya na Uganda.