Kivuli cha Ferguson chaitesa Man United KILA kocha anayekabidhiwa mikoba ya Manchester United anaonekana kuingia katika mtego uleule uliowanasa waliomtangulia.