Kauthar anavyotembea na taarabu ZILIPITA siku ambazo Taarabu ilionekana kusubiriwa zaidi na watu wa kizazi fulani, lakini sasa sauti yake inarudi mitaani, safari hii ikiwa na ladha inayowagusa zaidi Gen Z.
Banana Zoro: Picha za baba zinatuumiza BANANA Zoro ni miongoni mwa wanamuziki wakongwe wenye mchango mkubwa katika muziki wa Bongo Fleva, akijenga jina kupitia nyimbo kama Mama yangu na Nipo Radhi, huku pia akionekana katika uigizaji...