Wadau wataka suluhu vibali TFF GIZANI! Ndivyo unavyoweza kueleza hali halisi ndani ya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) baada ya klabu zinavyoshiriki ligi hiyo kufikia hatua ya kuomba kusitisha kushiriki kutokana na ukata...
Viwanja pesa: Man United yauza nyasi za Old Trafford, Barca na almasi za Camp Nou MANCHESTER United imeanza kuuza vipande vya nyasi za Uwanja wa Old Trafford kwa mashabiki wake, kila kipande kikiuzwa kwa pauni 125 (takriban Sh400,000 za Tanzania).