Straika Geita Gold amtaja Chirwa MSHAMBULIAJI wa Geita Gold, Maulid Shaban amesema kucheza timu moja na Mzambia Obrey Chirwa ni jambo nzuri ndani ya kikosi hicho, ingawa ni changamoto pia kwake, kutokana na ushindani wa nafasi.
Moto wa Ngorongoro Heroes CECAFA U-20 TIMU ya Taifa ya vijana ya Tanzania chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes imeendelea kuonyesha ubora mkubwa kwenye mashindano ya CECAFA U-20 yanayoendelea hapa nchini.