Rekodi yaipa Yanga ahueni CAFCL YANGA imeanza vibaya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu baada ya kuchapwa bao 1-0 na MC Alger ya Algeria, katika mchezo ambao ilitawala umiliki wa mpira lakini ikashindwa...
Arsenal vs Man City mambo matano kuamua mechi, mbio ubingwa MACHO yote yatakuwa kwa Arsenal na Manchester City, leo Jumapili zitakapokutana katika Uwanja wa Emirates kwenye Ligi Kuu England, na hapa tunaangazia baadhi ya simulizi muhimu kabla ya mchezo huo.