Picha Tusker Vs Yanga Ijumaa, Juni 09, 2017 — updated on Mei 22, 2021 Wachezaji wa Yanga wakimsikiliza kipa wao Deogratius Munishi Photo: 1/4 View caption Mshambuliaji wa Yanga Juma Mahadhi akiwania mpira na beki wa Tusker, Situma James Photo: 2/4 View caption Beki wa Yanga, Juma Abdul akimtoka mshambuliaji wa Tusker, Khamati Michael Photo: 3/4 View caption Mshambuliaji wa Yanga, Bakari Athuman akiwania mpira na mchezaji wa Tusker, Hassan Abdul Photo: 4/4 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
Rekodi nane zinazosubiriwa WAFCON 2026 FAINALI za Mataifa ya Afrika kwa wanawake mwaka 2026, zimekuja tofauti kabisa kuanzia kwenye ongozeko la timu hadi pesa za washindi.
Twiga Stars inapenya hivi WAFCON 2026 KAMA kuna timu ambayo imepewa kundi gumu kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, basi ni Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars.